Pamela & Baraka's wedding- held at Lugalo Golf Club
Monday, 23 December 2013
Wednesday, 18 December 2013
Tuesday, 4 June 2013
Adam Rowland & Alma's Wedding
Tuesday, June 04, 2013
Unknown
Bw. Adam Rowland akila kiapo cha ndoa katika msikiti ma Maamur uliopo Upanga
Kata Keki tule, ikiwa ni ishara ya upendo kati ya yao
Wamependezana haoooo
Picha ya pamoja na familia zao
Stage yao hiyo
Happily ever after wedding
Wednesday, 15 May 2013
JOHN BOSCO & WITNESS WEDDING HELD @CASSA HALL on 27th April 2013
Wednesday, May 15, 2013
Unknown
Bw. John Bosco akimvisha pete mke wake wake mbele ya kanisa
Bi. Witness akielekea kwenye gari baada ya ndoa yao kuidhinishwa rasmi
Dah. Keki ilikuwa tamu hii...
bw. John Bosco huyo kwa shangwe zote baada ya kukabidhiwa jiko
mambo yetu hayoooo!!!!!
kweli mjasiri kamwe hawezi kuacha asili yake
wamependezaje!?
Cheers!
wote kwa pamoja wakiwa na shangwe
Subscribe to:
Posts (Atom)