Twiga Hall,
Maharusi wakisubiri kula kiapo ndani ya Kanisa
Bi Harusi (Evodia) akimvisha pete Bw. Emmanuel
Emmanuel akimvisha pete Bi. Evodia
Na huu ndio ushahidi wa ndoa yao
Bw. Emmanuel akirushwa kwenye dimbwi la ndoa.
Mr & Mrs Emmanuel kwenye pozi na wapambe wao
wamependezaje?
Mr & Mrs Emmanuel kwenye pozi na wazazi wao
Kiukweli Wamependeza...
LOVELY PICS...WOW!!!AN SOO CRYSTAL CLEAR..BRILLIANT WORK..KUDOS!!! MALAIKA MEDIA..YOU MADE THE SHINE BRIGHT LIKE DIAMONDS...LOVELY!!!
ReplyDelete