PPF YAENDESHA TAMASHA LA KUTANGAZA MFUKO WA ELIMU WILAYA YA KINONDONI
PPF kupitia mfuko wao wa mafao ya elimu waliendesha tamasha April 13 kutangaza mfuko huo, tamasha hilo lilifanyika katika viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii, kijitonyama na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya ya kinondoni Bw. Jordan Rugimbana na wanafunzi toka shule mbalimbali.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Jordan Rugimbana (Katikati), Naibu meya wa manispaa ya kinondoni Bw. Songor Mnyonge (wa pili kushoto) na Mkurugenzi mkuu wa PPF Bw. William Erio (Kulia)
Wanafunzi wakionesha uwezo wao wa Sanaa
bwana mdogo akionenya kipaji chake
Mkuu wa wilaya ya kinondoni Bw. Jordan Rugimbana akitoa hotuba yake
Hapa akikabidhi zawadi za vitabu kwa Bi. Herieth, msimamizi wa wanafunzi wa Loyola Secondary
Akikabidhi zawadi kwa mmoja wa wanafunzi walioshiriki maonyesho hayo.
Picha ya Pamoja.
0 comments:
Post a Comment