Bw. John Bosco akimvisha pete mke wake wake mbele ya kanisa
Bi. Witness akielekea kwenye gari baada ya ndoa yao kuidhinishwa rasmi
Dah. Keki ilikuwa tamu hii...
bw. John Bosco huyo kwa shangwe zote baada ya kukabidhiwa jiko
mambo yetu hayoooo!!!!!
kweli mjasiri kamwe hawezi kuacha asili yake
wamependezaje!?
Cheers!
wote kwa pamoja wakiwa na shangwe