4th HARUSI TRADE FAIR ilifanyika march 2013. malaika media na makampuni nyingine kibao walishiriki kwenye maonesho hayo yaliyoandaliwa na Mustapha hassanali na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. Mhehishiwa Meya Jerry slaa alikuwa mgeni rasmi
Mh. Jerry Slaa akikata utepe kwenye maadhimisho ya maonesho hayo
Mgeni Rasmi akitia saini kwenye kitabu cha wageni
hapa akisalimiana na mmoja wa washiriki kwenye maonyesho hayo
Akipata maelezo toka kwa mwakilishi wa Vodacom Tanzania, ambao wlikuwa ni wadhamini wa maonesho hayo
Timu nzimu ya Malaika Media wakiwa kwenye banda lao la maonesho
akioneshwa baadhi ya huduma zitolewazo na Mbezi Garden
Mustapha Hassanali akimkaribisha Mgeni rasmi kwenye maonesho
Malaika Media wakipokea cheti
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza mgeni rasmi akitoa nasaha zake
Mh Jerry slaa akisisitiza jambo